Ili mambo yaende unahitaji majority watu wa namna gani ?
Ukijua hayo wala hautahangaika.., Poor Dad alikuwa na pension, aliweza kusomesha watoto / mtoto wake na alipata ajira yenye ujira (hao ndio majority ya watu wanaotakiwa) exceptional ni watu wachache wenye moyo na motivation ya kupata kitu fulani....: Mwingine ni elimu, mwingine uvumbuzi, mwingine pesa, mwingine show-off (to each their own)
Sasa hivi kutokana na sera mbovu middle income wanapungua; (hao so called rich dad, wengi wao wana-chase an illusion, living in a debt stressful life) wakati kuna matajiri wachache wanakula na kusaza (some not for their own doing put political positions and marginalization of others) na wengine hata chakula hawana (stuck in the poverty cycle) and not for the lack of hard work....
Na bila hilo kusahihishwa; kuhakikisha kuna opportunity ya majority kupata basic needs..., ni Hatari kwa dunia nzima.... (Extreme Poverty Anywhere is a threat to Society Everywhere)...
Itabidi shuleni tufundishane jinsi ya kuhimili vibaka na watu wenye chuki dhidi yetu sisi ambao tume-accumulate wealthy na wengine hawana hata makombo.....
Bora Think and Grow Rich anakufundisha kutokukata Tamaa na ku-pursue whichever you like au The Richest Man in Babylon anakwambia the basics of accumulating wealthy (if that's your fancy of-course)