This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Manunuzi wa Q7 ameishiwa bando ndiyo maana hajarudi tena, sometimes hapa jamiiforum kuna vituko kwelikweliHapo kwenye Audi hapo, unaomba nikugusie kwenye swali namba 4 ulipouliza tofauti ya A na Q.
Mfano wa A5 2015 hii. A series nyingi ni sedan ingawa kuna hatchback na sportback pia.
View attachment 1609800
Q series ni mindinga mikubwa mikubwa SUV mfano Q3 Q5 na Q7 ndio famous.
View attachment 1609802
Audi RSQ 8 [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Hapo kwenye Audi hapo, unaomba nikugusie kwenye swali namba 4 ulipouliza tofauti ya A na Q.
Mfano wa A5 2015 hii. A series nyingi ni sedan ingawa kuna hatchback na sportback pia.
View attachment 1609800
Q series ni mindinga mikubwa mikubwa SUV mfano Q3 Q5 na Q7 ndio famous.
View attachment 1609802
Nataka nmiliki kati ya hizo mkuu.Cjafanya maamuzi.Samahani Mkuu nikuulize swali.
Je, umeshawi kumiliki gari tofauti na hizo ulizotaja? Tuanzie hapo Kwanza ili nianze kujibu maswali yako
Mbona unamdharau mtu usiyemjua? Kwani hiyo Q7 gari used ni shilingi ngapi ambayo unaona mtu hawezi kununua.Acha ulimbukeni ,usipende kuona hali yako kiuchumi ilivyo basi ukadhani watu wote ni km wewe.Manunuzi wa Q7 ameishiwa bando ndiyo maana hajarudi tena, sometimes hapa jamiiforum kuna vituko kwelikweli
kwani shida iko wapi mtu kuzifananisha boss?Hivi mtu anakua amekunywa nini mpaka kuanza kufananisha Aud na subaru?
Hivi mtu anakua amekunywa nini mpaka kuanza kufananisha Aud na subaru?
Gari za mjerumani na ndugu zake chukua ya karibuni utafaidi maisha sio unaagiza Audi ya mwaka 2000 unataka nini hapo bora ununue Toyota ambayo ikisumbua miguu parts zake zipo na bei nafuu hao wadudu ni vyuma kweli ila upate miaka ya karibuni...Mkuu uko sawa. Hizi gari inatakiwa ununue ikiwa bado mpya.ukikumbana na la miaka ya nyuma used. Jiandae kuwa na private Doctor wa kukupima pressure kila siku. Spear hakuna,ukikutana nayo ni very expensive,mafundi wake hawapo. Ukitaka kuliuza haliuziki.