Naomba wajuvi mnipe specs za Audi Q7 na Subaru Forester XT eye site

Naomba wajuvi mnipe specs za Audi Q7 na Subaru Forester XT eye site

This is...

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
5,050
Reaction score
5,204
Nmeziona hizo gari sokoni lkn hiyo Audi ni cc3000 ikanitisha.Subaru ni cc 1900.Sasa naomba kujua ni ipi gari bora kati ya hizo ktk:
1. utumiaji wa mafuta
2 perfomance ya injini ktk barabara ya lami na vumbi.
3. uimara na spea.
4. Ni nini tofaut kati ya matoleo ya Audi series ya A na Q.
Mwisho kama mtu ana mfuko mzuri unashauri achukue gari ipi kati ya hizo. Na kwanini.
 
Audi ni gari mkuu ila haitaki janja janja na Q ina heshima flani hivi, kwenye mafuta haitaki vibaba ni jini lile spare ni mziki kwa bongo umeme pale ndo umelala na ni kiwango kuliko A.
Kama hauko njema chukua Forester XT hutojuta haina kero kabisa spare zipo japo kwa Nairobi zina unafuu mno.
Hata sokoni bei ya Audi Q5 Q7 ipo juu kulinganisha na Subaru ila kama ni Audi A ipo chini kuliko Subaru XT
 
Hapo kwenye Audi hapo, unaomba nikugusie kwenye swali namba 4 ulipouliza tofauti ya A na Q.

Mfano wa A5 2015 hii. A series nyingi ni sedan ingawa kuna hatchback na sportback pia.
images (1).jpeg

Q series ni mindinga mikubwa mikubwa SUV mfano Q3 Q5 na Q7 ndio famous.

images (2).jpeg
 
Hapo kwenye Audi hapo, unaomba nikugusie kwenye swali namba 4 ulipouliza tofauti ya A na Q.

Mfano wa A5 2015 hii. A series nyingi ni sedan ingawa kuna hatchback na sportback pia.
View attachment 1609800

Q series ni mindinga mikubwa mikubwa SUV mfano Q3 Q5 na Q7 ndio famous.

View attachment 1609802
Manunuzi wa Q7 ameishiwa bando ndiyo maana hajarudi tena, sometimes hapa jamiiforum kuna vituko kwelikweli
 
Audi RSQ 8 [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Manunuzi wa Q7 ameishiwa bando ndiyo maana hajarudi tena, sometimes hapa jamiiforum kuna vituko kwelikweli
Mbona unamdharau mtu usiyemjua? Kwani hiyo Q7 gari used ni shilingi ngapi ambayo unaona mtu hawezi kununua.Acha ulimbukeni ,usipende kuona hali yako kiuchumi ilivyo basi ukadhani watu wote ni km wewe.
Wakat unalia hali mbaya ya Magufuli,kuna wenzio wanatengeneza utajiri kila siku.
Halafu unadhani mda wote basi mtu atakuwa humu jukwaani tu ,kwani hamna kazi .Fikiri tofauti.
 
Audi naziheshimu sana hizo gari tatizo ya gari nyingi tunaagiza za muda mrefu ndio maana tunasema sijui inasumbua sana ukipata gari ya miaka nane nyuma kutokea hapa hata kumi utadumu nayo vizuri tuu ila pia Subaru sio wa kuweka na huyo mnyama Audi jamani hizo ni gari bahatika kupata ya karibuni ipo moja niliongozana nae kutoka beitbridge mpaka Livingstone na mimi nikiwa na mnyama mwingine hiyo gari haiyumbi ikiwa road na kona inaenda vizuri tuu...
 
Mkuu uko sawa. Hizi gari inatakiwa ununue ikiwa bado mpya.ukikumbana na la miaka ya nyuma used. Jiandae kuwa na private Doctor wa kukupima pressure kila siku. Spear hakuna,ukikutana nayo ni very expensive,mafundi wake hawapo. Ukitaka kuliuza haliuziki.
Gari za mjerumani na ndugu zake chukua ya karibuni utafaidi maisha sio unaagiza Audi ya mwaka 2000 unataka nini hapo bora ununue Toyota ambayo ikisumbua miguu parts zake zipo na bei nafuu hao wadudu ni vyuma kweli ila upate miaka ya karibuni...
 
Mkuu,audi Q7 ni bmw x5 au volkswagon tourage ilochangamka,cc 3000 ni diesel hivyo mafuta sio ishu sana,kama mfuko wako uko vizuri livute tu
 
Audi q7 hata bei yake sokoni hailingani na Subaru Forester XT kwa mfano huu USED AUDI Q7 = CIF 13,500 US$ ndo bei ya chini tena ni toleo la 2006 wakati Subaru Forester XT 6,600 US$ toleo la 2010, hivyo ni wazi kuwa AUDI ni expensive car than Subaru Forester , hata barabarani cc3000 inatulia vyema, speed 260-280 ingawa huwezi zitumia huku kwetu. ukiwa na fedha jilipue tu hiyo Q7 tutawahesabu Tanzania mpo wachache mliomiliki chombo hicho ikilinganishwa na XT kama wote!!!!
 
Back
Top Bottom