NATIONALISM
Member
- Jul 10, 2013
- 24
- 1
chuo flani kipo mkoa gani? Weka mambo wazi watu wakusaidie na sio kujivunga
kumbuka unaomba msaada
kwa watu usiowafahamu hivyo jiandae na uvumilie kwa majibu
utakayoyapata! Yatakuwepo ya kukera, kukarahisha, kukatisha tamaa nk!
Lakini usijali wapo wachache watakaoguswa na tatizo lako na kukupa
suluhisho au msaada wa hali na mali
ok hebu ungecheki taasisi
za kidini sikuhizi zinafadhili wanafunzi mfano pale udom kulikuwa na
taasisi moja hivi ilikuwa inasaidia watu wenye kadhia kama yako.
kama mda wa ku appel upo fanya hilo swala.
Zcheki taasisi za makanisa na kuapil