Naomba wanajamvi mnisaidie jinsi ya kumpata mfadhili.

Naomba wanajamvi mnisaidie jinsi ya kumpata mfadhili.

NATIONALISM

Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
24
Reaction score
1
Kutokana na kichwa cha habari hapo juu,mm ni mwanachuo wa chuo fulan hapa TZ,nachukua degree ya elimu(UALIMU) nimekosa mkopo na mm ndo nahangaika mwenyewe huku na huku ili niweze kupata university fees,kitu ambacho kinanipa changamoto sana,Nimelileta kwenu pengine naweza kupata suruhu ya changamoto hii,AMBAYE ATAGUSWA .MUNGU AWABARIKI
 
chuo flani kipo mkoa gani? weka mambo wazi watu wakusaidie na sio kujivunga
 
Kumbuka unaomba msaada kwa watu usiowafahamu hivyo jiandae na uvumilie kwa majibu utakayoyapata! Yatakuwepo ya kukera, kukarahisha, kukatisha tamaa nk! Lakini usijali wapo wachache watakaoguswa na tatizo lako na kukupa suluhisho au msaada wa hali na mali
 
OK hebu ungecheki taasisi za kidini sikuhizi zinafadhili wanafunzi mfano pale udom kulikuwa na taasisi moja hivi ilikuwa inasaidia watu wenye kadhia kama yako.
 
kumbuka unaomba msaada
kwa watu usiowafahamu hivyo jiandae na uvumilie kwa majibu
utakayoyapata! Yatakuwepo ya kukera, kukarahisha, kukatisha tamaa nk!
Lakini usijali wapo wachache watakaoguswa na tatizo lako na kukupa
suluhisho au msaada wa hali na mali

ni kweli ndg mshana,
 
Zcheki taasisi za makanisa na kuapil

ahsante keity,Nimejaribu kuwatafta viongozi wa makanisa kama TAG,EAG,RC Lakini sijafanikiwa.Kwa yeyote aliye na mawasiliano ya moja kwa moja ya watu ambao wanaweza kunisaidia.
 
Back
Top Bottom