Naomba wanaofanya biashara za mabasi ya kwenda mikoani

Naomba wanaofanya biashara za mabasi ya kwenda mikoani

herman3

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
556
Reaction score
736
Habarini wadau wa JF

Kwa heshima na unyenyekevu nipo hapa mbele yenu nahitaji kuwapata wahusika wa mabus ya abiria kutoka Dar kwenda mikoani.

Nina suluhisho la kuwezesha wateja kukata tickets kwa njia ya mtandao na kupata taarifa za tickets zao kwa njia ya sms pamoja na kwenye account zao za system.

Naomba kuweza kupata connection ya kujadili nao ili wateja wakikata tickets kwa njia hiyo ya mtandao niwaunganisha na gari zao.

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom