Sasa haya mambo ya kifamilia kuyaweka hadharani ndio nini!U bet! It was a mining exploration project.
Uranium inasakwa selous ambayo ni maalum for game hunting. Huyu dingi alizidisha kuchabo wakina aunt Grace tukampeleka selous ili akachabo wanyama hadi mama arudi. Kumbe ndo kwanza kaishia kwa vidosho vya kidhungu!
Rossian Roullete,i think main point hapa ni kuwa why wanawake wakiwa wengi kwenye eneo la kazi fulani wanakuwa na ukorofi,lakini wanaume wakiwa wengi kwenye kazi ileile kunakuwa na utulivu!Dont u see the different here?Maelezo uliyotoa ni mazuri lakini naweza kuyachukulia kama excuse kwasababu hayafit kwenye mjadala huu!Nilishawahi kufanya kazi na wanawake wengi,yaani wanaume tulikua wawili tu,nakuambia vurugu,uchawi vilikua haviishi,lakini kuna wakati wanawake walipungua sana hadi akabaki mmoja,nakuambia kulikua na utulivu na umakini kazini wa hali ya juu.Pia kuna jamaa yangu ana nyumba ya wapangaji,kuna wakati wanaume walikua wengi,palikua na utulivu sana,kwa sasa wanawake ni wengi,vurugu kila mara,mpaka ameamua kuwapunguza.Nakuambia hili ni suala la kimaumbile zaidi!
Wapo wanawake ambao ni supportive pia AF, ila hapo kwenye kusaidiwa mie huwa nakerwa na wanawake wanaojilegeza wakifanya kazi na wanaume. Unatakiwa uonyeshe strengths zako, u just need support and not help. Uelekezwe na sio kusaidiwa. Wanawake tunakasirikiana kwa sababu ukija kufanya kazi na mie sitakusadia bali nitakuelekeza. Mwanaume anaweza akakufanyia kazi yoote ubaki una-file kucha kutwa!
Sasa haya mambo ya kifamilia kuyaweka hadharani ndio nini!
Naomba u-delete hayo maneno yako kabla yule mwenzako Cantalisa hajayaona, maana najua na yeye akifika hapa hatakosa la kusema.
Hebu nitunzieni heshima kidogo basi ili na mie roho initue!
Duh!Haya bwana,wanawake wa karne 21!Would u marry me?Teh,teh,teh,teh!!!!
Hehehe, nnajua kudekea mwanaume wangu hadi basi! Afu sikusaidii kulea familia. Kama unajua kudekeza niPM bank statement yako kwi kwi kwi
On a serious note: tumejiingiza kwenye kazi za wanaume na still tunataka kuwa treated like ladies? Na tunataka usawa hata kwenye maslahi? Hamna aisee!
Wha do u mean uliposema mmejiingiza kwenye kazi za wanaume?
Za kuwa na nyumba ndogo, kulea waume teh teh !
Kuponda kokoto, ujenzi, kuranda na kazi za maporini.
Afu na nyie mmejiingiza kwenye kazi za wanawake. Kuna mtu nataka tumsengenye, ngoja nakuPM sasa hivi
Naona nimebanwa kila kona humu......................Ngoja nibadili ID yangu niwapige chenga ya mwili................LOLAaah wapi! Na hii thread nam-printia maza na ile ya vishawishi inamsubiri.
Afu acha wanawake wa jf anaowasema mrs ma2mbo waone kabisaa kuwa una mabinti wana wivu na wewe kuliko mkeo. Tunawatusulia humu humu, mama hana shida ana askari. Wa miamvuli!
umbea,kusengeny na mambo mengine ya kufanana na hayo wanawake wameumbwa hivyo!
RR,first of all,i dont want u to belive,i want u to know!Kinachofanya mwanamke awe kama alivyo ni maumbile!Namaanisha ndivyo alivyoumbwa.Kwanini unafikiri ni tatizo mwanamke kuwa na tabia hiyo?Kwanini usiichukulie kama changamoto kwenu?Sisemi kuwa wanaume hawana tabia hizi,ila ni wachache sana,wanawake ni wote,hiyo ni tabia ya KIKE!Thats why mwanaume akiwa na tabia hizo atasemwa ana tabia za kike.Pia fahamu kuwa mwanamke kuwa na tabia hizo sio udhaifu na kumfanya awe less human,bali ndivyo alivyo,hata wanaume tuna tabia za kiume na sio udhaifu.Kumbuka tabia hizi ni tabia tu!
RR,are u sure hujaona sababu?Au unataka nitoe sababu ya aina gani?Au maumbile sio sababu?Tatizo wanawake mnamtizamo hasi juu ya uanawake wenu,hata yale ya kike mnayakataa na anaeyazungumza mnampatia majina ya ajabu ajabu.Mnapenda kujilinganisha na wanaume ili kujipima mnapokuta tofauti ndo mnapanda kichaa,mnaanza kuikataa,mnakataa hata yale ambayo ni ya kike kwa sababu hayapo kwa wanaume! hamjui kuwa mko kamili pamoja na uanamke wenu,mnadhani kuwa kama wanaume ndo usawa au ubinadamu!Wake up ladies!
Hapo nimekuelewa!Ila kwenye kusengenya siwezi!Ngoja niendelee na kuponda kokoto!!
Embu acha kujikausha hapa! Wanaume mnapenda na kupiga umbea kama nini! Hapo hata situmii nguvu kubisha,lol