RR,slow down mama,wether u like or not,women is women!Tatizo hamjitoshi mnataka kujikimbia,mlishashindwa kujitosha tangu pale mlipodhani mwanaume kwa kufanya kazi ofisini,kuongoza jamii etc anafaidi,mkajiona mmepungua,mkaanza kujikataa,ndipo mkadhani uanaume ndo ukamilifu,ndo maana hata wewe muda huu unatoka mapovu mdomoni kukataa uanawake,unatafuta nafuu ndani yako kwa kuniita majina ya ajabu!Hey haitakusaidia hiyo,jikubali,kusema umbea ni tabia ya kike hakuhitaji PhD au chuo cha aina yoyote!Angalia kwa uhalali what goes on around u,utapata majibu.Ukamilifu wa mwanamke ni pamoja na tabia za KIKE!Mwanamke hahitaji tabia zakiume ili akamilike!Kusema unajivunia uanamke wakati unakataa tabia za kike unakua unachekesha,ni sawa na kukata tawi huku umelikalia!Huna point ya maana unapong'ang'ania nikuambie ni jinsi gani jinsia ya kike inamfanya mwanamke awe mbea,msengenyaji etc,ni sawa na kutaka kujua ni namna gani jicho halifanani na mguu!Swali la kitotoeeee!