Ha,ha,ha,haaa!Hao sio wanaume!WANAUME hapigi umbea,anapiga kazi.Source:Aspirin!
Lol, afu wababu kwa umbea! Aspirin tumtegee umbea afu uone kama hatujamsuta na matarumbeta!
lakini mh mnatunyasanyasa jamani
Ni neno zaidi ya kumshushua. Kumuweka mtu kitimoto au hotseat.Hivi kusuta ndo nini?Nijuze bana hapo!
Umenikumbusha kazi moja ambayo niliikosa kwa sababu ya jinsia yangu, I was very upset. Well, ingekuwa kazi ngumu na ningekuwa mwanamke alone kwenye tented camp yenye wanaume 50 hivi but I was up to the challenge. That was very unfair!
Ni neno zaidi ya kumshushua. Kumuweka mtu kitimoto au hotseat.
You probably meant Women Are women, sio?RR,slow down mama,wether u like or not,women is women!
Unakosea sana kuamini kua you know what happens in my head, or in any woman's head. I don't feel that way at all. Na ndio maana unashindwa kujibu hoja, umekwama kwenye stereotype.Tatizo hamjitoshi mnataka kujikimbia,mlishashindwa kujitosha tangu pale mlipodhani mwanaume kwa kufanya kazi ofisini,kuongoza jamii etc anafaidi,mkajiona mmepungua,mkaanza kujikataa,ndipo mkadhani uanaume ndo ukamilifu,
Mkuu, mbona unakua too personal? tunajadili kuhusu wanawake na umbea maofisini, what has it got to do with me? Halafu hizo povu nimetolea wapi? let's stick to the point please. Sexist sio jina la ajabu, it only means that you perceive women negatively simply because they are women, with no substantial reason.ndo maana hata wewe muda huu unatoka mapovu mdomoni kukataa uanawake,unatafuta nafuu ndani yako kwa kuniita majina ya ajabu!Hey haitakusaidia hiyo,jikubali,
Sijasema tunahitaji PhD, ila kuna minimum bwana. Sio useme tu kitu sababu kinapendeza. Mbona mi nimetoa sababu za kutoamini kua umbea unalingana na jinsia? Nimeeleza how it is linked to the environment? Sasa kipi kigumu kwako kufanya the same?kusema umbea ni tabia ya kike hakuhitaji PhD au chuo cha aina yoyote!Angalia kwa uhalali what goes on around u,utapata majibu.
If we start from here (coz hii ndio point ya kwanza actualy related to the topic) do you mean kua tabia ya umbea (ambayo ni typicaly ya kike according to you) ni tabia inayo mkamilisha mwanamke?Ukamilifu wa mwanamke ni pamoja na tabia za KIKE!Mwanamke hahitaji tabia zakiume ili akamilike!Kusema unajivunia uanamke wakati unakataa tabia za kike unakua unachekesha,ni sawa na kukata tawi huku umelikalia!
Sioni kama ni swali la kitoto. Si ujibu tu? hakuna swali la kijinga ndugu. Jicho ni tofauti na mguu kufatana na function ya jicho (the organ is used to see) na mguu (the organ is used to stand and move). Basi tueleweshe tu taratibu how being born as a woman predisposes females kua wambea.Huna point ya maana unapong'ang'ania nikuambie ni jinsi gani jinsia ya kike inamfanya mwanamke awe mbea,msengenyaji etc,ni sawa na kutaka kujua ni namna gani jicho halifanani na mguu!Swali la kitotoeeee!