Naomba wasahihishaji wa Mitihani ya Form 4 na 6 wa hii Shule mwakani wawe ni Wanawake tupu tafadhali

Naomba wasahihishaji wa Mitihani ya Form 4 na 6 wa hii Shule mwakani wawe ni Wanawake tupu tafadhali

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kuna uwezekano mkubwa sana kwamba hii Shule ya ( Kisimi-ri ) labda huwa inafanya vizuri kwakuwa Wasahihishaji wake wengi huwa ni Wanaume ambao pengine wakiwa wanaanza kusahihisha Mitihani yao huwa na furaha na bashasha zote kutokana tu na jina lenyewe la Shule ambalo kiukweli lina ' mvuto ' wa Kutukuka kwa kila Mwanaume.

Ombi langu ni kwamba nawaomba ' Mamlaka ' kwamba hebu mwakani wajaribu kuwapa tu ' jukumu ' Walimu wa Kike pekee kusahihisha ' Mitihani ' yote iwe na Form 4 au Form 6 ya hii Shule ya ( Kisimi-ri ) ili tuweze kuona kama bado tu wataendelea ' Kutusua ' kama hivi au hapana.

Hata hivyo nichukue tu nafasi hii ' adhimu ' kabisa kuipongeza Shule ya ( Kisimi-ri ) kwa kufanya Kwao vizuri kila mwaka katika ' Mitihani ' ya Kitaifa ila si vibaya pia na sisi wengine tukapewa ' Historia ' kidogo ya hii Shule na haswa ni kwanini hadi ikaamuliwa iitwe ( Kisimi-ri )
 
Back
Top Bottom