Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nzur sana kimuonekano na hata ukipita Nji mbovu inahimili tuh vizur.Nipo interested na gari la ina hii.
Naomba wenye uzoefu waje kushare
Gharama, Uzuri na Ubaya wa gari hili n.k
Kabisa10. Ni gari ambayo haipitwi na fashen
Waooh! Nice Comment mwambie pia akikwama Kimaisha ni Rahisi kuuzika kulilo Nissan Extrail au gari za Kampuni ya Nissan, Honda nkSifa zake!
1. Ni gari
2. Ipo juu ngumu kugusa pamba
3. Inatengenezaka na mafundi wrote
4. Haili sana mafuta
5. Spare zinapatikana hapa bongo
6. Ina chaguo dogo na kubwa lakini CC1790 Nzuri kwa mafuta,
7. Injini yake ikitumika muda mrefu 5years above pasipo kuzingatia ubora wa oil huuwa PISTO RING ambazo ZINATENGENEZEKA
8. Mlango wa nyuma unaobeba taili haufai kufungilifunguliwa ili udumu.
9. Hazihitaji mbio nyingi zaidi ya 129km/hr zinatumika na watu wataftaji na waliopevuka kiakili
10. Ni gari ambayo haipitwi na fashen
Umenyoosha mkali haina haja ya kumaliza herufi za simu yangu 😂😂😂Sifa zake!
1. Ni gari
2. Ipo juu ngumu kugusa bampa chini
3. Inatengenezeka na mafundi wote
4. Haili sana mafuta ( low consumption)
5. Spare zinapatikana hapa bongo
6. Ina chaguo dogo na kubwa lakini CC1790 Nzuri kwa mafuta,
7. Injini yake ikitumika muda mrefu 5years above pasipo kuzingatia ubora wa oil huuwa PISTO RING ambazo ZINATENGENEZEKA
8. Mlango wa nyuma unaobeba taili haufai kufunguliwafunguliwa ili udumu.
9. Hazihitaji mbio nyingi barabarani zaidi ya 120km/hr zinatumiwa na watu wataftaji na waliopevuka kiakili
10. Ni gari ambayo haipitwi na fashen
Mkumbushie na mabaya yake pia ya matege ya nyuma,kukongoroka chini mabushi nk kila mara!Sifa zake!
1. Ni gari
2. Ipo juu ngumu kugusa bampa chini
3. Inatengenezeka na mafundi wote
4. Haili sana mafuta ( low consumption)
5. Spare zinapatikana hapa bongo
6. Ina chaguo dogo na kubwa lakini CC1790 Nzuri kwa mafuta,
7. Injini yake ikitumika muda mrefu 5years above pasipo kuzingatia ubora wa oil huuwa PISTO RING ambazo ZINATENGENEZEKA
8. Mlango wa nyuma unaobeba taili haufai kufunguliwafunguliwa ili udumu.
9. Hazihitaji mbio nyingi barabarani zaidi ya 120km/hr zinatumiwa na watu wataftaji na waliopevuka kiakili
10. Ni gari ambayo haipitwi na fashen
Sifa zake!

Bush nzuri za RBI ukiweka ni mkataba, ukiweka ujinga wa frotis inakula kwa dereva 😂Mkumbushie na mabaya yake pia ya matege ya nyuma,kukongoroka chini mabushi nk kila mara!
Mitege ya nyuma kula tyre upande mmoja na kukita ukiweka gear bado mafundi wetu wa tz hawajajua mwarobaini wake?Bush nzuri za RBI ukiweka ni mkataba, ukiweka ujinga wa frotis inakula kwa dereva [emoji23]
Hahahaaa haipitwi na fashen duu napita tuSifa zake!
1. Ni gari
2. Ipo juu ngumu kugusa bampa chini
3. Inatengenezeka na mafundi wote
4. Haili sana mafuta ( low consumption)
5. Spare zinapatikana hapa bongo
6. Ina chaguo dogo na kubwa lakini CC1790 Nzuri kwa mafuta,
7. Injini yake ikitumika muda mrefu 5years above pasipo kuzingatia ubora wa oil huuwa PISTO RING ambazo ZINATENGENEZEKA
8. Mlango wa nyuma unaobeba taili haufai kufunguliwafunguliwa ili udumu.
9. Hazihitaji mbio nyingi barabarani zaidi ya 120km/hr zinatumiwa na watu wataftaji na waliopevuka kiakili
10. Ni gari ambayo haipitwi na fashen
Sifa zake!
1. Ni gari
2. Ipo juu ngumu kugusa bampa chini
3. Inatengenezeka na mafundi wote
4. Haili sana mafuta ( low consumption)
5. Spare zinapatikana hapa bongo
6. Ina chaguo dogo na kubwa lakini CC1790 Nzuri kwa mafuta,
7. Injini yake ikitumika muda mrefu 5years above pasipo kuzingatia ubora wa oil huuwa PISTO RING ambazo ZINATENGENEZEKA
8. Mlango wa nyuma unaobeba taili haufai kufunguliwafunguliwa ili udumu.
9. Hazihitaji mbio nyingi barabarani zaidi ya 120km/hr zinatumiwa na watu wataftaji na waliopevuka kiakili
10. Ni gari ambayo haipitwi na fashen
Ni mazuri sana nayapenda
Hii uliopost ni Miss Tanzania. Sio kili timeNi mazuri sana nayapenda
Miss Tz? Okay Mr CarsHii uliopost ni Miss Tanzania. Sio kili time