Naomba wasifu wa gari aina ya Toyota Rav 4 kill time

Naomba wasifu wa gari aina ya Toyota Rav 4 kill time

Mkuu chukua hii ya 2020..ukiiona unaweza sema ni Range Rover kumbe ni Rav4
2020-Toyota-RAV4-on-highway-1-768x316.jpg
 
Ni mazuri sana nayapenda
Ofisin kwetu kuna Mangi Mmoja anayo hii huu mwaka wa 4 sasa hatujawah kuona ikioata Matege wala nn jamaa kila mwisho wa Mwaka anaenda nayo Moshi kitu imetulia.
One time nilisafir kwenda Moshi na hiyo kitu aisee kitu inasepa balaa yani 160km/hr imetulia balaa utafikir mpo 50km/hr
 
Kwenye high speed hapana kwa kweli beyond 130 haishawishi
 
Ofisin kwetu kuna Mangi Mmoja anayo hii huu mwaka wa 4 sasa hatujawah kuona ikioata Matege wala nn jamaa kila mwisho wa Mwaka anaenda nayo Moshi kitu imetulia.
One time nilisafir kwenda Moshi na hiyo kitu aisee kitu inasepa balaa yani 160km/hr imetulia balaa utafikir mpo 50km/hr
Hahah RAV4 120 speed inayumba na inakuwa nyepesi only kluger can do that
 
Sifa zake!
1. Ni gari
2. Ipo juu ngumu kugusa bampa chini
3. Inatengenezeka na mafundi wote
4. Haili sana mafuta ( low consumption)
5. Spare zinapatikana hapa bongo
6. Ina chaguo dogo na kubwa lakini CC1790 Nzuri kwa mafuta,
7. Injini yake ikitumika muda mrefu 5years above pasipo kuzingatia ubora wa oil huuwa PISTO RING ambazo ZINATENGENEZEKA
8. Mlango wa nyuma unaobeba taili haufai kufunguliwafunguliwa ili udumu.
9. Hazihitaji mbio nyingi barabarani zaidi ya 120km/hr zinatumiwa na watu wataftaji na waliopevuka kiakili
10. Ni gari ambayo haipitwi na fashen
[emoji120]
jiminzita.png
 
Bush nzuri za RBI ukiweka ni mkataba, ukiweka ujinga wa frotis inakula kwa dereva [emoji23]
Hapo kwenye FROTIS ndipo kunapo 7bbisha toyota kwa tanzania ni cheap kuliko mjerumani[emoji1787][emoji1787][emoji1787] bush nzuri za kuchonga kwa fundi maiko, utakuta anachonga bush kama anachonga vinyago bagamoyo[emoji23][emoji23]
 
Ofisin kwetu kuna Mangi Mmoja anayo hii huu mwaka wa 4 sasa hatujawah kuona ikioata Matege wala nn jamaa kila mwisho wa Mwaka anaenda nayo Moshi kitu imetulia.
One time nilisafir kwenda Moshi na hiyo kitu aisee kitu inasepa balaa yani 160km/hr imetulia balaa utafikir mpo 50km/hr
Siku mtachochora na hiyo 160km/h ndio mtajua kua sio 50km/h
 
Tarehe 20th Desemba tunatarajia kwenda Moshi
Sijuw itakuwaje safar hii
Uuuwiii Jaman
Mimi nitakaa WAMI nahesabu namba E zinazo enda huko! Kama una namba A, namba B, namba C, na namba D baki huko huko uzaramui au tafuta fuso likubebee huo uchafu ukauwashie MABOGINI na MRENYI
nascar-drift.gif

[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
 
Vp kuhusu rav 4 miss TZ au wengine huita Dolphin ulaji mafuta na durability vipoje? Karibuni kwa mawazo na ushauri pia spea zake Bei zipoje?
 
Back
Top Bottom