Naomba wasifu wa gari aina ya Toyota Rav 4 kill time

Ni mazuri sana nayapenda
Ofisin kwetu kuna Mangi Mmoja anayo hii huu mwaka wa 4 sasa hatujawah kuona ikioata Matege wala nn jamaa kila mwisho wa Mwaka anaenda nayo Moshi kitu imetulia.
One time nilisafir kwenda Moshi na hiyo kitu aisee kitu inasepa balaa yani 160km/hr imetulia balaa utafikir mpo 50km/hr
 
Kwenye high speed hapana kwa kweli beyond 130 haishawishi
 
Hahah RAV4 120 speed inayumba na inakuwa nyepesi only kluger can do that
 
[emoji120]
 
Bush nzuri za RBI ukiweka ni mkataba, ukiweka ujinga wa frotis inakula kwa dereva [emoji23]
Hapo kwenye FROTIS ndipo kunapo 7bbisha toyota kwa tanzania ni cheap kuliko mjerumani[emoji1787][emoji1787][emoji1787] bush nzuri za kuchonga kwa fundi maiko, utakuta anachonga bush kama anachonga vinyago bagamoyo[emoji23][emoji23]
 
Siku mtachochora na hiyo 160km/h ndio mtajua kua sio 50km/h
 
Tarehe 20th Desemba tunatarajia kwenda Moshi
Sijuw itakuwaje safar hii
Uuuwiii Jaman
Mimi nitakaa WAMI nahesabu namba E zinazo enda huko! Kama una namba A, namba B, namba C, na namba D baki huko huko uzaramui au tafuta fuso likubebee huo uchafu ukauwashie MABOGINI na MRENYI
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
 
Vp kuhusu rav 4 miss TZ au wengine huita Dolphin ulaji mafuta na durability vipoje? Karibuni kwa mawazo na ushauri pia spea zake Bei zipoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…