Naomba wasifu wa mtafsiri wa movies na series za abroad anaefahamika kwa jina la OMMY DJ

ZINJANTHROPAZ

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2023
Posts
287
Reaction score
470
CLAPS YOUR HANDS TO THIS MAN.

Huyu mwamba ukimsikiliza vzuri kwanza ana uelewa mpana wa anachokifanya kuanzia lugha nahisi zinafika lugha nne za kimataifa na pia kiingereza ndo yuko vizuri mana hategemei subtittle.

Ukiachana na hayo napenda sana atafsiri movie yenye maudhui ya kijasusi na ki diplomasia anakueleza kila kitu clear, anajua mambo ya vita, mambo CIA, MOSSAD,FBI,TISS, mambo ya kila nchi mfano historia za miji kama timbuktu sijui mipaka ya kazakstan daaah!! plus matukio fiche ambayo hata kuyasikia kwingine ni nadra sana mpaka huwa nasema au katoroka kwenye system.

Mfano nlikuwa nachek series moja ya kijasusi inaitwa (agent x) kukawa na scene inazungumzia biological weapons sasa mule wameeleza kdogo na tukio kidogo tu. sasa acha huyu mwamba aanze kuleta nondo zake kuanzia ilpoanzia yaani ilipopigwa marufuku daah.

Mambo inside kabisa ya Marekani mpaka huwa nachoka hebu mwenye wasifu wake anaweza ongezea nyama ili nikija kuunganisha dots zangu ntapata majibu. lets go....
 
Wazee wa minyama
 
Binafsi muvi ikishatafsiriwa hasa kwa namna hiyo ya hao madj napoteza mzuka hata wa kuicheki, wengi wanadanganya sana.
 
Binafsi muvi ikishatafsiriwa hasa kwa namna hiyo ya hao madj napoteza mzuka hata wa kuicheki, wengi wanadanganya sana.
niko kama wewe xo far napia naweza kuangalia kavu ila napenda sana maelezo yake na madini yake
 
Siwezagi kabisaa kuangalia hizo movies zilizotafsiriwa

Nililazimika kuangalia moja nikiwa safarini kwenye mabasi ya mikoani
Kwa bahati nzuri ilikua ni movie ambayo nimewahi kuiangalia...... itoshe tu kusema UONGO na kuongeza minyama ni kwingi mmno
 
sio kwa huyu niliemtaja wew ulikutana na dj afro mzee wa makagari na kugudha uroro not ommy d
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…