Naomba wasifu wa mtafsiri wa movies na series za abroad anaefahamika kwa jina la OMMY DJ

Naomba wasifu wa mtafsiri wa movies na series za abroad anaefahamika kwa jina la OMMY DJ

Binafsi muvi ikishatafsiriwa hasa kwa namna hiyo ya hao madj napoteza mzuka hata wa kuicheki, wengi wanadanganya sana.
Na wanawapata watu kama mleta uzi.
Hata mimi hao jamaa hunipati kahisa nikiwacheki, ni waongo labda uwe hujui kingereza kabisa kabisa, basi watakua msaada kwako.
Ila kama the the zinapanda aisee utauona uongo wao dhahiri, na baadhi yao kutokana na wingi wa kazi huwa wanatumia uzoefu na sio kuielewa movie, wanatafsiri uongo uongo sana.
 
Back
Top Bottom