Na wanawapata watu kama mleta uzi.
Hata mimi hao jamaa hunipati kahisa nikiwacheki, ni waongo labda uwe hujui kingereza kabisa kabisa, basi watakua msaada kwako.
Ila kama the the zinapanda aisee utauona uongo wao dhahiri, na baadhi yao kutokana na wingi wa kazi huwa wanatumia uzoefu na sio kuielewa movie, wanatafsiri uongo uongo sana.