Naomba Wasifu wa Waziri Dkt. Stergomena Tax

Waswahili kwa kuchunguliana, unataka ujue ili iweje?
 
Ili kama anatoka kabila Fulani ili iweje? Kwa kifupi ana damu ya Kituruki!!!! Dadavua zaidi kwa wakati wako. Ila ni mtanzania halisi baba na mama. Kanda ya Ziwa wana taarifa rasmi!!!!
 
Nashukulu kwa baadhi ya ufafanuzi mlionipa nilichotaka kujua ni mkoa tu hayo mengine mlioyaongeza sikutaka kuyajua.
 
Bamwenda ;Hilo ni jina la kule alikoolewa lakini yeye anatoka MSOGa ni ------, huoni weupe wake!!!
 
Mwenyeji wa Sengerema Mwanza, kasoma na Magufuli Lake Secondary

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mwanza kuna viumbe wa kisukuma ukikutana nao utasena wazungu au waarabu kumbe wasukuma, wa-asia wana damu kali sana, hata mama awe na chembe tu za asia utashangaa mtoto ni chotara tii.

Huyu mama mtoto wake ndio aliezua umaarufu kwa kulisakata amapiano kwenye ile video ya kutambulisha jezi za yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…