Igulu Bugomola
Member
- Apr 17, 2023
- 47
- 61
Huyu ni Muhaya kutoka mkoani Kagera
Ila wazazi wake walikuwa ni walimu waliajiriwa Kijiji cha Shishani wilayani Magu mkoa wa Mwanza.
Stargomena kazaliwa na kusoma hapo shishani na uhayani kaenda kusalimia ukubwani.
Kwa sasa anajifua kugombea ubunge wa jimbo la Magu. Anaji-attach sana na jamii kipindi hiki. Kuna harambee ya ujenzi wa nyumba ya mapadre parokia ya kabila ambapo shishani ni moja ya vigango vinavyounda hiyo parokia alitoa zaidi ya milioni 30.
Kwa tetesi kutoka vyanzo kadhaa huyu ndiye PM ajaye