Naomba watu wenye kampuni ndogondogo wanaohitaji huduma za kodi wanitafute

Iniho

Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
97
Reaction score
68
Hello wadau wa Jamii Forum.Mimi nina Tax consultancy Firm yangu ni mpya nimeaianzisha hivi karibuni,naomba watu wenye kampuni ndogo ndogo wanaohitaji huduma za kodi wanitafute hata mwenye uhitaji wa kutengenezewa business plans,Financial statements njoo tuzungumze zaidi
bei ni nafuu kabisa my no.0738 665702/0715097814.
 
Mkuu pongezi zako nina uhakika watakufikia. Ila kwenye occupation ungerekebisha neno 'Financial'
 
Hello wadau wa Jamii Forum.Mimi nina Tax consultancy Firm yangu ni mpya nimeaianzisha hivi karibuni,naomba watu wenye kampuni ndogo ndogo wanaohitaji huduma za kodi wanitafute hata mwenye uhitaji wa kutengenezewa business plans,Financial statements njoo tuzungumze zaidi
bei ni nafuu kabisa my no.0738 665702/0715097814.
Nataka kujua Qualification zako kama Director
 
Ukishajua ndo utanipatia kazi mkuu?Mimi ni CPA holder(Certified Public Accountant),I am holding bachelor of Commerce in Accounting,I am a registered tax consultant by TRA,I am also holding Post graduate diploma in Tax management from the institute of finance management,Actully siwezi andika Cv yangu yote hapa,kama una kazi nipatie then you will understand well my CV.
 
Umejibu vizuri ilakijazba mnoo mkuu
 
Hello wadau wa Jamii Forum.Mimi nina Tax consultancy Firm yangu ni mpya nimeaianzisha hivi karibuni,naomba watu wenye kampuni ndogo ndogo wanaohitaji huduma za kodi wanitafute hata mwenye uhitaji wa kutengenezewa business plans,Financial statements njoo tuzungumze zaidi
bei ni nafuu kabisa my no.0738 665702/0715097814.
Kiongozi habari ofisi yako iko wapi
 
Mkuu kampuni yenye mtaji wa chini ya milioni 50 na waajiriwa 10 nayo iko kwenye kundi la kampuni ndogo??
 
Sasa mkuu,samahani mimi mdogo wako ni mhitimu wa chuo cha IFM katika shahada ya usimamizi wa kodi naweza pata fursa ya intern hapo kwako nami nijifunze kwa vitendo...

Nitangulize shukrani zangu za dhati kabisa
 
Back
Top Bottom