Ahsante mkuu kwa mchango wako.Mkuu pongezi zako nina uhakika watakufikia. Ila kwenye occupation ungerekebisha neno 'Financial'
Nataka kujua Qualification zako kama DirectorHello wadau wa Jamii Forum.Mimi nina Tax consultancy Firm yangu ni mpya nimeaianzisha hivi karibuni,naomba watu wenye kampuni ndogo ndogo wanaohitaji huduma za kodi wanitafute hata mwenye uhitaji wa kutengenezewa business plans,Financial statements njoo tuzungumze zaidi
bei ni nafuu kabisa my no.0738 665702/0715097814.
Ukishajua ndo utanipatia kazi mkuu?Mimi ni CPA holder(Certified Public Accountant),I am holding bachelor of Commerce in Accounting,I am a registered tax consultant by TRA,I am also holding Post graduate diploma in Tax management from the institute of finance management,Actully siwezi andika Cv yangu yote hapa,kama una kazi nipatie then you will understand well my CV.Nataka kujua Qualification zako kama Director
Umejibu vizuri ilakijazba mnoo mkuuUkishajua ndo utanipatia kazi mkuu?Mimi ni CPA holder(Certified Public Accountant),I am holding bachelor of Commerce in Accounting,I am a registered tax consultant by TRA,I am also holding Post graduate diploma in Tax management from the institute of finance management,Actully siwezi andika Cv yangu yote hapa,kama una kazi nipatie then you will understand well my CV.
Kiongozi habari ofisi yako iko wapiHello wadau wa Jamii Forum.Mimi nina Tax consultancy Firm yangu ni mpya nimeaianzisha hivi karibuni,naomba watu wenye kampuni ndogo ndogo wanaohitaji huduma za kodi wanitafute hata mwenye uhitaji wa kutengenezewa business plans,Financial statements njoo tuzungumze zaidi
bei ni nafuu kabisa my no.0738 665702/0715097814.
Mkuu ofisi yangu iko IPS building Pale Posta second floor karibu sana.Kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zetu tupigie 0715097814/0738665702Kiongozi habari ofisi yako iko wapi
Website ni nayo tayari.Ahsante sanaMkuu usinisahau nina ofa ya website buree!
hata sisi wa kidope tunaruhusiwa kujaWebsite ni nayo tayari.Ahsante sana
Mnaruhusiwa karibu sanahata sisi wa kidope tunaruhusiwa kuja
Matangazo ya biashara mbali mbali kuuza, kununua ama kutafuta kitu fulani, hakuna mada za siasa mapenzi, wala utani mwingine wowoteMnadeal na nini