Kandulla New Member Joined Feb 26, 2021 Posts 3 Reaction score 0 May 24, 2021 #1 Mimi ni kijana wa kiume (25) nipo Dodoma nahitaji kufanya biashara, nina mtaji wa shilingi laki Tano tu 500,000. Je, nifanye biashara gani itakayonipatia faida na kukuza kipato changu? Nina ujuzi wa kompyuta na ualimu tu. Mawazo yenu wakuu. Asanteni. ======= Nyuzi unazoshauriwa kusoma: 1. Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea) 2. Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?
Mimi ni kijana wa kiume (25) nipo Dodoma nahitaji kufanya biashara, nina mtaji wa shilingi laki Tano tu 500,000. Je, nifanye biashara gani itakayonipatia faida na kukuza kipato changu? Nina ujuzi wa kompyuta na ualimu tu. Mawazo yenu wakuu. Asanteni. ======= Nyuzi unazoshauriwa kusoma: 1. Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea) 2. Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?
Kandulla New Member Joined Feb 26, 2021 Posts 3 Reaction score 0 May 24, 2021 Thread starter #2 Mimi ni kijana wa kiume (25) nipo Dodoma nahitaji kufanya biashara nina mtaji wa shilingi laki Tano tu 500,000. Je nifanye biashara gani itakayonipatia faida na kukuza kipato changu. Nina ujuzi wa kumpyuta na ualimu tu. Mawazo yenu wakuu. Asanteni.
Mimi ni kijana wa kiume (25) nipo Dodoma nahitaji kufanya biashara nina mtaji wa shilingi laki Tano tu 500,000. Je nifanye biashara gani itakayonipatia faida na kukuza kipato changu. Nina ujuzi wa kumpyuta na ualimu tu. Mawazo yenu wakuu. Asanteni.
Tajiri wa upendo OG Senior Member Joined Mar 15, 2020 Posts 171 Reaction score 237 May 24, 2021 #3 Nadhani Biashara ya kuchoma chips huku ukiuza vinywaji baridi itakufaa zaidi.
theChinga Member Joined Aug 30, 2020 Posts 32 Reaction score 40 May 24, 2021 #4 Uza mtumba hautajuta.
evangelical JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 5,035 Reaction score 8,218 May 24, 2021 #5 fanya biashara ya kijiwe cha kuremba akina dada kucha na miguu
Ze last Born JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 1,770 Reaction score 3,867 May 24, 2021 #6 mnengene said: fanya biashara ya kijiwe cha kuremba akina dada kucha na miguu Click to expand... Ewaaah!!...huku atapata mbususu nyingi za kula kimasihara kama atakuwa mjanja. Usisahau kuleta visa kwenye uzi wetu pendwa hapa JF.
mnengene said: fanya biashara ya kijiwe cha kuremba akina dada kucha na miguu Click to expand... Ewaaah!!...huku atapata mbususu nyingi za kula kimasihara kama atakuwa mjanja. Usisahau kuleta visa kwenye uzi wetu pendwa hapa JF.