Naomba wazo la biashara kwa mtaji wa Tsh 800,000

Joined
Mar 31, 2025
Posts
6
Reaction score
4
Kama Tittle inavyojieleza.
Mimi nipo Mwanza, tangu 2022 nilikuwa nafanya biashara ya usafirishaji, bahati mbaya nilipata changamoto zilizofanya niyumbe sana kiuchumi.

Hapa nimebakiza laki 8 tu nawaza jinsi ya kuanza upya ili niweze kuinuka tena.

Natanguliza shukrani.
 
Una elimu gani?

Unapendelea nini?
 
Back
Top Bottom