Thistime Tomorrow
Member
- Mar 31, 2025
- 6
- 4
Una elimu gani?Kama Tittle inavyojieleza.
Mimi nipo Mwanza, tangu 2022 nilikuwa nafanya biashara ya usafirishaji, bahati mbaya nilipata changamoto zilizofanya niyumbe sana kiuchumi.
Hapa nimebakiza laki 8 tu nawaza jinsi ya kuanza upya ili niweze kuinuka tena.
Natanguliza shukrani.
Diploma ya Records and Archives Management.Una elimu gani?
Unapendelea nini?
Hapo unafungua genge zuri kabisa.Diploma ya Records and Archives Management.
Biashara ya M-Pesa, Dagaa, au Samaki
Hapo unafungua genge zuri kabisa.
Friji kama unalo, tafuta fremu za elfu 30 lipia miezi mitatu, laki 4 unanunua vitu vya kuanzia ,nyingine akiba.