Naomba wazo la biashara, nategemea kupata Tzs 4,000,000/= (Milioni nne)

Kama upo mjini tafuta vibali ufanye biashara ya mkaa au gas. Nimemaliza.
Mkaa sishauri una mambo mengi sana. Soma humu πŸ‘‡

 
Njoo tufanye biashara ya Dagaa na nafaka...,usimamizi na uendeshaji ni juu yangu...wewe kila mwezi utakuwa unapata faida ya 7% ya mtaji wako utakaoweka kwenye biashara,

Mikataba ya kisheria tutaandikishana ili kulinda masrahi ya pande zote, UAMINIFU ndo cha muhimu sana kabla ya yote.

Karibu tuwasiliane kwa maelezo zaidi +255716060677 ,biashara zangu nafanyia Mwanza na Arusha. Asante.
 
Endelea na biashara hio hio iriyokupatia hio hera
 
Subiri uzipate hizo hela kwanza, halafu utapanga namna ya kuiwekeza, kwa sasa utajipa stress bure tu huku ukiwa na matarajio kibao, subiri ziingie ndio uzipangie.
 
Natafuta eneo la sokoni,stand,gereji

Natafuta fundi njaa chini namwaga rafu na vipande vya tiles, natafuta chuma 4 nazisimamisha juu naezeka turubai au mabati used..
Nanunua jiko la kuchomea nyamaa na vyombo kadhaa,,kazi inaanza

Asubuhi supu ya kichwa,kongoro,ulimi na mkia. Ndizi za kuchemsha

Ugali pande
Ugali samaki choma
Ugali kuku choma
Ugali utumbo choma
Ugali maini chomaa
Ndizi choma n.k

Baadae tengeneza kibanda cha chuma kwa ajili ya kuhifadhia friji weka vinywaji baridi na vya kupimaa...

Nitaendelea
 
Poa kiongozi, I will
 
Subiri uzipate hizo hela kwanza, halafu utapanga namna ya kuiwekeza, kwa sasa utajipa stress bure tu huku ukiwa na matarajio kibao, subiri ziingie ndio uzipangie.
Hela ni uhakika mda wwt inahit bank account
 
Nitapanga vip budget pesa ambayo ni ya mandishi
 
Hivi Duka la kuuza maji jumla pamoja na vinywaji faida yake ikoje
Me ninalo moja maeneo ya Tegeta...napiga vzr tu. Cha msingi uwe sehemu yenye msongamano...faida yake ni ndogo ndogo sana lakini mzigo kama unatoka kwa haraka kwa mwez unapata hela nzuri tu. Lazima uandae tolori la kuwapelekea wateja na kijana mmoja uwe naye. Na usimamie wewe mwenyewe usimpe mtu.
 
Nipe niizungushe kwenye shughuli zangu
Subiri marejesho tu..
 
Bangi inalipa baraaa nilishaaai kuchukua muzigo mmoja ukarudisha faida Mara nne
Siku ukidakwa na mamlaka ndiyo utaelewa faida mara 4 au hasara mara 100. Kwani wewe biashara halali zisizo na usumbufu huzioni mkuu?😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…