Naomba wazo la biashara, nategemea kupata Tzs 4,000,000/= (Milioni nne)

Naomba wazo la biashara, nategemea kupata Tzs 4,000,000/= (Milioni nne)

Swali kabla ya kukupa wazo la biashara je ulishawai kufanya kabla.

Nb; Biashala zipo nyingi na zina faida ila watu weng wanafel kwenye biashara kwa sasbu nying tu kwaiyo kuwa makini na bishara unawotaka kufanya.
 
Nikupongeze kwanza kwa kitita taslim cha sh 4M,hongera sana mkuu!!.

Matuamaini makubwa ni kwamba mwaka huu mwezi JAN ulikuwa ushachora raman yako na mikakati yako ya kutusua kiuchumi kwa mwaka huu 2021.Basi kama haukuwa namichro ya kivita kuishinda vitaa hii basi ni better ukarudi kwenye handaki nakujipanga upya kabla hujaanza kuingia vitani,kwani ukiingia vitani nakutokujua wapi utashika ngome na wapi utaweka defence hapo nikuishia kubutuliwa chuma au kulipukiwa na bomu ambalo litakuacha na maafa makubwa mnoo.Lakini kama ulichora mipango yako basi ni wazi ukaishusha hapa kwenye huu uzi tukaona nini unawaza ili wadau tukupe ushauri na direction juu ya hio michoro yako.

Binafsi kwa eyo 4M ningetupua bank 2M kwanza na kuchora mchakato wangu wakufanya modern entrepreneurship (naachana na yale mambo ya kuweka karanga na busi kwenye mfuko wa plastic na kupanga road nitafute wateja),ningefanya yafwatayooo.

1.Open ka retstaurant ka chakula kwa kuzingatia location .hapa sitakuwa na haraka ya kutengeneza hela nyingii ,lengo langu litakuwa ni kuhakikisha usafii,modern investment ya restaurant imezingatiwa ilikuwavutia wateja,kuwatarget wateja wa mbalikwa kuinvest katika online business(ordering and derivery).

2.Naweza nkataka kujua namna ya hizi biashara za bodaboda zinaweza kunipaje faida.Kwa maaana vijana wengi wameipokea fursaa hii na kuifanya kuwa ajira katika harakat zao za kuhakikisha dona linapatikana.Tunasikia ya kuw bodaboda wengi ya kuwa kuna changamoto katika ajira hii na ukiangalia tu kwa upande mmoja unaona bodaboda ni nying kuliko vityu vya kufanyia services... sasa hapa achana na ile dhana ya kununua bodaboda ww ingia mjini kkoo na mitaani kulaa research kisha fungua bishara.

Try hizi kwanza na ile amount ya 2M unaiweka fixed bank au unaweza kuwait ukiinaza ezo biz unakuwa unaboost nayooo ......
 
Tafuta hiyo sehemu nije niwekeze ila biashara ifanyike sio malipo mbususu
Aah Mbususu nilipewa buree acha itumike kwa malipo hayo mkuu😀😀 njoo uwekeze tu mkuu unalipwa mbususu basi, afu hili jina umenifundisha wewe kuita hivo😀😀
 
Nunua boda boda itapendeza kama utaendesha mwenyewe
Amini nakwambia itakusongeza
Weka mikakat, kusanya hesabu kama vile unampelekea boss
Chomoa kiasi kidogo kwa matumiz kingine save
Boda boda zinalipa sana kama msimamizi/dereva ni ww mwenyewe! Kuna jamaa hapa anasomesha watoto wake shule za gharama, anakula vizuri na maisha safi kwa nguvu ya u boda boda wake tu na piki piki ake kabisa sio mkopo...
 
Ml 4 inakutosha kabisa kununua pikipiki used 4, daily unaingiza 28k halafu zidisha Mara mwezi Mara mwaka.
Piki piki used simshauri hata robo! Ni pasua kichwa mkuu,... Bora achukue mpya kabisa kama ana kijana wake au mdogo ake ampe aendeshe, Asimpe mtu wa mtaani aisee uaminifu 50/50 watambadilishia shock up na vingine mpaka vya kwenye engine atawekewa vikuu kuu then chombo kitaanza kumsumbua services za kila siku faida yote itaishia kwenye services ambazo zina mkono wa kijana na fundi.. Kama ana muda wa kutosha awe anaendesha mwenyewe kabisa kama boda boda itamlipa sana..
 
Aah Mbususu nilipewa buree acha itumike kwa malipo hayo mkuu😀😀 njoo uwekeze tu mkuu unalipwa mbususu basi, afu hili jina umenifundisha wewe kuita hivo😀😀
Ah sasa ndio hapo mnapofeli malipo yakianza kuwa mbususu ujue biashara inaelekea kaburini soon. Ila kama kweli unaeneo la kukaangiza njoo inbobo maana hapo hapo kwenye vyepe ndio nitapatia mbususu nyingine maana kyepe warembo hawachomoi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom