Nikupongeze kwanza kwa kitita taslim cha sh 4M,hongera sana mkuu!!.
Matuamaini makubwa ni kwamba mwaka huu mwezi JAN ulikuwa ushachora raman yako na mikakati yako ya kutusua kiuchumi kwa mwaka huu 2021.Basi kama haukuwa namichro ya kivita kuishinda vitaa hii basi ni better ukarudi kwenye handaki nakujipanga upya kabla hujaanza kuingia vitani,kwani ukiingia vitani nakutokujua wapi utashika ngome na wapi utaweka defence hapo nikuishia kubutuliwa chuma au kulipukiwa na bomu ambalo litakuacha na maafa makubwa mnoo.Lakini kama ulichora mipango yako basi ni wazi ukaishusha hapa kwenye huu uzi tukaona nini unawaza ili wadau tukupe ushauri na direction juu ya hio michoro yako.
Binafsi kwa eyo 4M ningetupua bank 2M kwanza na kuchora mchakato wangu wakufanya modern entrepreneurship (naachana na yale mambo ya kuweka karanga na busi kwenye mfuko wa plastic na kupanga road nitafute wateja),ningefanya yafwatayooo.
1.Open ka retstaurant ka chakula kwa kuzingatia location .hapa sitakuwa na haraka ya kutengeneza hela nyingii ,lengo langu litakuwa ni kuhakikisha usafii,modern investment ya restaurant imezingatiwa ilikuwavutia wateja,kuwatarget wateja wa mbalikwa kuinvest katika online business(ordering and derivery).
2.Naweza nkataka kujua namna ya hizi biashara za bodaboda zinaweza kunipaje faida.Kwa maaana vijana wengi wameipokea fursaa hii na kuifanya kuwa ajira katika harakat zao za kuhakikisha dona linapatikana.Tunasikia ya kuw bodaboda wengi ya kuwa kuna changamoto katika ajira hii na ukiangalia tu kwa upande mmoja unaona bodaboda ni nying kuliko vityu vya kufanyia services... sasa hapa achana na ile dhana ya kununua bodaboda ww ingia mjini kkoo na mitaani kulaa research kisha fungua bishara.
Try hizi kwanza na ile amount ya 2M unaiweka fixed bank au unaweza kuwait ukiinaza ezo biz unakuwa unaboost nayooo ......