Naomba wazo la biashara, nategemea kupata Tzs 4,000,000/= (Milioni nne)

Nimekusoma kiongozi, shukrani.
 
Jamaaaa viipi umechukua maamuzi yapi mzee?
Kusema kweli sijaamua bado, nimeona mawazo mengi Sana hunu nadhani ntachanganya na Zangu then nkishafanya maamuzi ntaleta mrejesho humu kwa wadau.
 
PORTO WIN.BENFICA WIN..CLERMONT FOOT WIN..ZAMALEK WIN OR DRAW..THANK ME LATER.
 
Mpandisha salaries umetokea wapi tena? Unamaanisha yule mpenzi wake wa zamani ambaye unasema ni mimi alikua ugly ama[emoji848]. Kwahiyo unapinga suala la yeye kuvutiwa? [emoji12]
Sijakiri kupinga ama kuunga hoja, la hasha!! Namaanisha huenda aliwahi kukumwagia Sera akiwa na ID nyingine au wewe ukiwa na ID nyingine.
Wanaume hatutongozi Mara mbili.
 
Na ukisubiri uipate pesa ndio upange cha kufanya kitambo uje upate chakufanya hiyo hela inaweza ikawa ilishaondoka.

Hivyo ku plan kabla pia ni muhimu ili ukiipata tu moja kwa moja unaiweka katika ulicho plan.
Kabisa. Ukiandika mipango yako, siku pesa ikipatikana unaanza utekelezaji tu. Kimsingi mipango ndio inakupa mbinu sa kusaka mtaji
 
pata kwanza hyo pesa nikupeleke chimbo lenye mademu wakali
 
Cheza michezo ya kubahatisha , kamari pal NEw Africa, bashiri mechi za Simba na Man u , utakula kila siku, mwisho wa msimu mtaji utaongezeka na msimu ukianza mwengine iwe ni tabia yako ya ku-bet.
 

Kibanda ninacho tafuta eneo mimi nalipa kodi vinywaji naomba niuze mm pamoja na Mpesa tigo pesa na shot za Konyagi na Kvant vyombo vya chakula vitakuwa vina lala kwenye Banda maana ni kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…