Uza urembo waa akina dada iwe rasta, rangi za kucha mafuta wa pendayo wa dada na kila kitu wanacho penda hakikisha wana pata kwako.
Kwa mtaji huo kaduka kata shonana bidhaa na hela ita rudi fasta lakini pia hakikisha una uza bei ya chini sana, kubali kupata faida ndogo ili mzigo uwe una isha fasta una rudia tena kujumua.
Hapo uta uza sana na faida uta iona usikubali kuuza kwa bei juu mzigo uta chelewa kuisha mzunguko wa biashara yako utakua mdogo hauta ona faida.