naturesolve
Member
- Jul 21, 2022
- 18
- 21
Dhumuni langu langu la kutengeneza uzii huu ukawasaidie vijana wengii wenye mitaji midogo ambao wanahitajika wasonge mbele kimaisha.
Wana jamii tuleteni mawazo ya kujenga mwenye fursa, mwenye wazo aliletee mezani watu wanufaike. MTU MWENYE MTAJI WA CHINI YA MILIONI TANO ANAWEZA AKAFANYA BISHARA ZIPI ZENYE KUMLETEA KIPATO KTK MAISHAA?