Naomba wazo la namna ya kuingiza faida ya 30,000 na kuendelea kwa mtaji wa million 3

Naomba wazo la namna ya kuingiza faida ya 30,000 na kuendelea kwa mtaji wa million 3

MEGATRONE

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
1,140
Reaction score
2,141
Habarini members wenzangu,

Nilikuwa naomba wazo la biashara ambayo inaweza kuingiza faida 20,000 na kuendelea kwa mtaji wa Million 3!

Nakaribisha mawazo yenu!
 
Habarini members wenzangu
Nilikuwa naomba wazo la biashara ambayo inaweza kuingiza faida 20,000 na kuendelea kwa mtaji wa Million 3!
Nakaribisha mawazo yenu!
Inategemeana na vitu vingi,ngoja wajuzi wa mambo waje. Biashara zipo lakini uwe tayari kwa lolote.
 
Nenda pale stakishali au central langua gongo yote na bangi zote wanazo kamata police... wambie wew ni mjasiriamali mpya mjini.......
 
Nunua Piki piki Au Bajaj Ujiunge na Bolt au Uber, uwez Kosa Hiyo Hela kama Unaendeesha mwenyew
 
Back
Top Bottom