Karot
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 1,159
- 1,313
Habari za majukumu wakuu.. Husika na kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni mgeni wa jiji la Arusha nimekuja kikazi sikuja kutembea kama nilivokwenda Kigoma. Kikubwa naomba ushirikiano wenu ndugu zangu, mimi ni Mtanzania kama nyinyi msije kunibagua, kimatembezi, kimalazi, starehe na mambo mengine yanayomuhusu binadam.
Kwa upande wa akina dada nitafurahi sana mkinipa ushirikiano wenu kushinda wanaume wenzangu. Hili sitaki niliweke wazi sana maana naweza kutukana ilihali kuna wakubwa zangu humu na pia baba, mama na babu zangu. Sitaki niwachoshe sana. Fursa moja tu kwa akina dada... Nahitaji kampan ya kutembezwa jijini hadi nitakapomaliza majukumu yaliyonileta. Ukiwa tayari inbox ipo wazi.