Naomba wenyeji wa Arusha mnipe ushirikiano wenu, hatimae nimetua ndani ya mji huu.

Naomba wenyeji wa Arusha mnipe ushirikiano wenu, hatimae nimetua ndani ya mji huu.

Karot

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2017
Posts
1,159
Reaction score
1,313
Habari za majukumu wakuu.. Husika na kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni mgeni wa jiji la Arusha nimekuja kikazi sikuja kutembea kama nilivokwenda Kigoma. Kikubwa naomba ushirikiano wenu ndugu zangu, mimi ni Mtanzania kama nyinyi msije kunibagua, kimatembezi, kimalazi, starehe na mambo mengine yanayomuhusu binadam.

Kwa upande wa akina dada nitafurahi sana mkinipa ushirikiano wenu kushinda wanaume wenzangu. Hili sitaki niliweke wazi sana maana naweza kutukana ilihali kuna wakubwa zangu humu na pia baba, mama na babu zangu. Sitaki niwachoshe sana. Fursa moja tu kwa akina dada... Nahitaji kampan ya kutembezwa jijini hadi nitakapomaliza majukumu yaliyonileta. Ukiwa tayari inbox ipo wazi.
 
Eti kutembezwa na wadada....huna lolote,tuliza hizo nyegele zako nyang'au...unataka urudi kigoma mweupe..
 
Hahaha, mkuu kurudi mweupe wewe kusikupe shida maana sitakaa nije nikuombe msaada wa nauli. Tuliza mshono.
Tatizo nyie madogo wa siku hizi vipepe sana...mkiingia jijini ndo vi2 mnavyowaza kung'onoka tu...sahivi mnajifanya mnajibu kwa jeuri ila wengi siku si nyingi mnapotea kwenye ramani...Ila utapata tu hamna shida,kuna warembo wengi wanatafuta vilaza ka ww...
 
Mbona mkuu unaonekana umekasirika sana,
unahisi nitakuchukulia dem wako? Kuwa na amani naona povu sio la Nchi hii. Halafu ungejua miaka yangu usingesumbuka.
 
Mbona mkuu unaonekana umekasirika sana,
unahisi nitakuchukulia dem wako? Kuwa na amani naona povu sio la Nchi hii. Halafu ungejua miaka yangu usingesumbuka
Mi wala sina hata shida na ww...cjui mambo ya demu wangu yametokea wap...but sikushangai coz hayo ndo mambo unayowazia...
Just relax and enjoy ur day..
 
Mi wala sina hata shida na ww...cjui mambo ya demu wangu yametokea wap...but sikushangai coz hayo ndo mambo unayowazia...
Just relax and enjoy ur day..
Kuwa na kifua kama mwanaume.
 
Back
Top Bottom