Naombe location viwanja vya Tabora vya kula bata

Naombe location viwanja vya Tabora vya kula bata

fogoh2

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
5,305
Reaction score
5,355
Wanajamvi nipo Tabora Muda huu ,ndio mara yangu ya kwanza ,kwa wenyeji wa huku nipe location ya viwanja vilivyochangamka vyenye watoto wakali ,Sina usingizi kabisa
 
Ulizia mitaa ya Kanyenye kuna kiwanja jirani na Chungu cha Bibi, kinaitwa the Terrace sijui..... maeneo hayo hayo kuna viwanja vingi tu.
 
Tabora ya sasa siijui vyema, Tabora ya zamani (wahenga) nakumbuka hivi viwanja:
-Club Mwanaisungu
-Tabora Hotel
-Tabora by night
-Lufita Club
-Maua bar
-Four ways corner (kwa Luta)
-Diamond talks Cinema
-Golden Eagle hotel
-City ambassador hotel

Bila kusahau mihogo mitamu ya Bob Simba, mihogo ya Kazembe!
 
Back
Top Bottom