Tabora ya sasa siijui vyema, Tabora ya zamani (wahenga) nakumbuka hivi viwanja:
-Club Mwanaisungu
-Tabora Hotel
-Tabora by night
-Lufita Club
-Maua bar
-Four ways corner (kwa Luta)
-Diamond talks Cinema
-Golden Eagle hotel
-City ambassador hotel
Bila kusahau mihogo mitamu ya Bob Simba, mihogo ya Kazembe!