Naombe msaada wenu doctors

Oyono

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2013
Posts
222
Reaction score
35
Habari za jioni ndugu zanguni?,Nina mzee wangu anasumbuliwa na magonja ma2 kwa wakati m1, magonjwa yenyewe ni kisukari na madonda ya 2mbo naombeni anae faham dawa anisaidie hata ya kienyeji make 2mesha hangaika mahospitalini hadi 2mechoka!, SHUKRAN
 
Nampa polesana mzee wako na wewepia kwa ujumla kutokana na kuhangaishwa na magonjwa hayo.Nina dawa nzuri sana za mitishamba zinazotibu vidoda vya tumbo.pia dawa ya kisukari ipo kama unaitaji ntafute kwa mengizaidi.0759217720
 
Shukran sana ndugu yangu ntakutafuta kesho mungu akipenda!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…