Habari za jioni ndugu zanguni?,Nina mzee wangu anasumbuliwa na magonja ma2 kwa wakati m1, magonjwa yenyewe ni kisukari na madonda ya 2mbo naombeni anae faham dawa anisaidie hata ya kienyeji make 2mesha hangaika mahospitalini hadi 2mechoka!, SHUKRAN
Nampa polesana mzee wako na wewepia kwa ujumla kutokana na kuhangaishwa na magonjwa hayo.Nina dawa nzuri sana za mitishamba zinazotibu vidoda vya tumbo.pia dawa ya kisukari ipo kama unaitaji ntafute kwa mengizaidi.0759217720
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.