Manofu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2018
- 1,317
- 2,020
Nikili kwamba sikuwa mfatiliaji wa hii michuano toka nimezaliwa ila nimeanza mwaka juzi. Ile fainali ya mwaka jana wakati exprence de tunis wanapindua matokeo kibabe ndo ilinishawishi kuwa mpenzi mkubwa wa hii michuano.
Naona simba nao mwaka huu wameniongezea utamu wakuendelea kufatilia hii michuano. Nakwakweli wapenzi wa simba mnisamee maana mimi ni yanga damu ila naona mnaomba robo fainali mungu awaepushe na hii timu lakini mimi naomba mungu awape hii timu ili na mimi nitimize ndoto yakuwaona live awajamaa bila kujali matokeo.
Maana mnaweza pangwa na mamelondi mkatolewa bule kabla ya kukutana na awa washenzi.Mungu nakuomba unipe tumaini la moyo wangu.