Naombea Simba ipangwe na Experence de Tunis

Fuatilia game zo hao Esperance, sio timu ya kutisha kabisa, Simba inaweza kuwafanya kitu kibaya sana.
 
Kituo kinachofuata ni Tunisia.
 

Esperance wafanye yale mambo yao kama ya baselona wampige uyu anaetumia ndagu ata goli 6 ivi.
 
Azam alishawahi kuwafunga 2-1 pale Chamazi japo ugenini Azam walikubali kipigo cha 3-1 hivyo walitolewa...but kwa ubora wa sasa wa Simba pamoja na hamasa kubwa ya mashabiki Pale taifa sioni sababu ya kuogopa timu yoyote..kikubwa ni kucheza kwa nidhamu ya hali ya juu ugenini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…