Ambiele Kiviele JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 15,267 Reaction score 29,917 Nov 27, 2016 #1 Naomba mnijibu swali la leo. Hivi ""ADAM"" NA ""EVVA"" baada ya kujua kuwa wamekuwa MME na MKE: Je! ""ADAM"" alilipa mahari ? Kama alilipa! alilipa kwa nani? Kama hakulipa wanaolipa mahari wanamuiga nani??????? jibu________ ukishindwa kaa kimya tupate jibu.
Naomba mnijibu swali la leo. Hivi ""ADAM"" NA ""EVVA"" baada ya kujua kuwa wamekuwa MME na MKE: Je! ""ADAM"" alilipa mahari ? Kama alilipa! alilipa kwa nani? Kama hakulipa wanaolipa mahari wanamuiga nani??????? jibu________ ukishindwa kaa kimya tupate jibu.
Itzmusacmb JF-Expert Member Joined Jun 22, 2016 Posts 1,531 Reaction score 1,134 Nov 27, 2016 #2 Ngoja waje [emoji39] [emoji39] [emoji39] ~Cmb
Rahabu JF-Expert Member Joined Jan 21, 2014 Posts 5,526 Reaction score 3,341 Nov 27, 2016 #3 Hilo lingeenda jukwaa LA dini maana kuna wajuzi wa mambo hayo kule
ShyaRuwa JF-Expert Member Joined May 30, 2015 Posts 7,895 Reaction score 13,643 Nov 27, 2016 #4 Swali la nyongeza, Je nani aliyemtahiri Adam? Kama hakutahiriwa, kwanini leo watu wanatahiriwa?
B babrau Member Joined Nov 27, 2016 Posts 57 Reaction score 16 Nov 28, 2016 #5 Alimsalia mtume Muhammad (SAW).