Naomben Mnijib Hili Swali

Naomben Mnijib Hili Swali

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
Naomba mnijibu swali la leo.

Hivi ""ADAM"" NA ""EVVA"" baada ya kujua kuwa wamekuwa MME na MKE: Je!

""ADAM"" alilipa mahari ?

Kama alilipa! alilipa kwa nani? Kama hakulipa wanaolipa mahari wanamuiga nani???????


jibu________ ukishindwa kaa kimya tupate jibu.
 
Hilo lingeenda jukwaa LA dini maana kuna wajuzi wa mambo hayo kule
 
Swali la nyongeza, Je nani aliyemtahiri Adam?

Kama hakutahiriwa, kwanini leo watu wanatahiriwa?
 
Back
Top Bottom