Christa Member Joined Dec 15, 2012 Posts 37 Reaction score 4 Sep 14, 2013 #1 Nina umri wa miaka 28 mzunguko wangu ni siku 30,cha kushangaza nilipata hedh tarh 24 mwez wa 8 na jana tareh 13 nimeanza tena kubleed. Je ni tatizo gan? Maana sijabadil mazingira.
Nina umri wa miaka 28 mzunguko wangu ni siku 30,cha kushangaza nilipata hedh tarh 24 mwez wa 8 na jana tareh 13 nimeanza tena kubleed. Je ni tatizo gan? Maana sijabadil mazingira.
A Avelina Member Joined Sep 5, 2013 Posts 70 Reaction score 11 Sep 14, 2013 #2 Hilo na mimi linanisumbua sana.