Naomben ushaur kuhusu mabadiliko ya hedh!

Naomben ushaur kuhusu mabadiliko ya hedh!

Christa

Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
37
Reaction score
4
Nina umri wa miaka 28 mzunguko wangu ni siku 30,cha kushangaza nilipata hedh tarh 24 mwez wa 8 na jana tareh 13 nimeanza tena kubleed. Je ni tatizo gan? Maana sijabadil mazingira.
 
Back
Top Bottom