Jaman Speaker mbona unantsha? Una hasira za nini tena ndg?
Seems like there are hundreds of chagga here,sorry for generalization once again miss
Ooh pole jaman! Ilkuwaje ukakosa mapenz ya baba? Kmbe ndo mana una mahacra hvyo? Pole again!
That's not the point. Ila if you havent notice, here you are again generalizing the reason for the objections of your statement !!!!!!?
we uon swaga zake?Tehe, tehe. Tehe! We Rose wewe? Umeniacha hoi na surual ya ktambaa + shati la kutetemeka= ??? Hufai hakyanan vle!
We acha tu,huyu mtu kaniudhi kweli na mtoto wangu,...kibaya zaidi ni kwamba wamehamia moshi toka dar so kuwapata baadae for my daughter ndo kazi,...ila ntampata tu ngoja afikishe 4yrz
Ucjal kwa hlo! Mtoto aktmiza 4yrs nsh2e ntakusaidia kumtafuta cz moshi mi mwenyej, hawawezi kumchukua bint ye2 kirahc hvyo then 2waachie! Hacra c zmeanza kupungua kdgo eeh? Tabasam bac kdgo!
kumbe wanao kosa mapenzi ya baba wana hasira?
No,ni leo tu tena sio hasira kiasi hiko,ningekua nimekasirika sana ningeisha lala zamani sana
we uon swaga zake?
kucomplicate mambo
kujfanya hakimu borta na mjuaji nambari one
uyu ni mshamba tu nakwambia uwez kuwa complicator kiasi kile
sasa anachohukumu nini wakat mtu anaonekana anajuta kabsa juu ya aliyoyafanya!
ahh mijitu mingne bwana nikipta kariakooo ntamnunulia na foengo za njano ili akivaa suruali yake ya kitambaa ile ya kijan na shat lake jekundu lakutetetemeka bas akitia na izo foengo za njano awake vzuri
tai ya blue pia stasahau
ET hasira bado zipo?
zmeisha ennh?NAOMBA ELA!
Ujue nna kikohoz mwenzio? Sa unavyozid knchekesha ndo nn jaman? Yan km namuona atakavyopendeza! Na unadhan atanyoa styl gn vle? Manake wa2 wa surual za vtambaa wana styl zao za kunyoa! Tehe, tehe, tehe!
atanyoa KIBWENZI.
hii kesi unataka ushauri au unatuelezea kilichotokea?Mimi ni msichana wa miaka 28!nimekua na mahusiano na mkaka mwaka sasa na hapa nilipo ninaujauzito wake wa miez 9.tatizo ni kwamba jamaa alikua anasumbua sana swala la kuwaambia wazaz wake kuja kwe2 kujitambulisha,nikatumia nguvu atimae wakaja na mahari wametoa!sasa cha ajabu mchumba wangu huyu aniudumii kwa chochote,alisema atanunua pete anivalishe kimya mpaka sasa ukimwambia hakosi sababu mara hana pesa,na hela najua anayo japo c nying,namwambia basi ata cku 1 toa ata hela ya clinic japo elf 10 nayo tatizo!ananichosha sana yan yy anataka 2 mm ndio niwe nampa hela.naomben ushaur nimuache 2baki kuwa 2mezaa tu ila nisifunge nae ndoa?mana wazaz walisema kwetu kwamba harusi ni november mwaka huu.nachanganyikiwa sielew nifanyaje?
Hahaha,jasiri haachi asiri eh?
Hupati hela ya mkurya kizembe zembe hivo
hii kesi unataka ushauri au unatuelezea kilichotokea?
hii kesi unataka ushauri au unatuelezea kilichotokea?
Haha,zimepungua nilikuwa nachekeshwa na rafiki zangu hapa kwenye skype,...thanks kwa ushauri now turudi kwa dada yetu mwenye thread
mweee haya bwana ...mguu sawa...nyuma geukaaa.....byeeeeeee!!!!!!!!
chachamwta!!!!!
wat do u thk?
hivi kutoka gerezani kunataka ushauri?Mwishoni kasema,.."sielewi nifanyeje" akimaanisha anataka ushuri
Here comes another game,and to win it is simple,i only have to say SORRY MISS
Huyu dada ye2 akubal 2 yaishe kuwa huyo mwanaume co rzk yake, amwombe atakapojfungua wasaidiane kumlea mtt na aachane na mambo ya kulazmisha ndoa cz atajajuta bdae! Mwanaume akimwona analpa atatangaza ndoa mwnyewe bla kumlazmsha! Na acmpe tn hla, yy ndo aanze kumpa ma2miz cz anastahil. Nampa pole sn vle amependa acpopendwa!