Naomben ushauri.

Uwiiiiii! Sile mbaf cmefunjika sooo sote kwel! Hapo ndo umewuwa kabisaaaa! Akmalza kunyoa mwambie mi nmetangulia church, cwez kuongozana na m2 km mti wa X mass!
 
Gerezani??
Yeah,inategemea uhakikisho kwamba ukitoka /ukitoroka hautakamatwa na kurudishwa ndani tena!
mkuu huyu dada mleta sredi hili balaa kajitaftia mwenyewe labda tumpe pole tu kwavile ni mwana JF mwenzetu, adhawaizi hapa sioni kosa hata moja la huyo mkaka, tena nadhani mkaka anaweza akafungua kesi ya kubakwa kihisia. cha muhim atimue sasa kabla mambo hayajaharibika zaidi
 
Uwiiiiii! Sile mbaf cmefunjika sooo sote kwel! Hapo ndo umewuwa kabisaaaa! Akmalza kunyoa mwambie mi nmetangulia church, cwez kuongozana na m2 km mti wa X mass!
ntamwambia
na i ngoma lazima itakuwa kwa kakobe cz st peters akunaga vmbwanga ivi!!
 
Hv kwel eeh? Na cku hz wa2 ha2aminian! Hujui ni mda gn mwenz wko anakpnda kwel na mda gn anataka mlee mtt! Ila bora wabak kla m2 kvyake washrikiane kumlea huyo baby mtarajiwa!
 
mkuu huyu dada mleta sredi hili balaa kajitaftia mwenyewe labda tumpe pole tu kwavile ni mwana JF mwenzetu, adhawaizi hapa sioni kosa hata moja la huyo mkaka, tena nadhani mkaka anaweza akafungua kesi ya kubakwa kihisia.

Hahaha,duh umenichekesha kweli!
Mimi nilianza kumjibu kwa hasira kweli,ila zilivo pungua nilianza kumuonea huruma kweli!
Tatizo kubwa saivi ni matunzo ya mtoto,kama hela anazo wala asiwaze,...yeye atunze tu jamaa akipata hela atakuwa analeta kidogo kidogo
 
ndyo unaomba ili ujue uelekee wap afata kutoka gerezan
kwa wazaz wako au kwa mkeo/mumeo..
hehehe rose ujicho bana! hivi nitoke gerezani badala ya kwenda kumrukia waifu na kutoana nae jasho unanletea stori za kuonana na wazazi. khaaa! hao wazazi wenyewe ukianzia kwao watakuachia razi watakuona ni toto b w e g e. hii haihitaji ushauri bana, try again
 

thak u sir:love:
 
mkuu ulikuwa sahihi kujibu kwa hasira! hizi kesi nyengine ukibembeleza basi watu wanaona zinafaa tu. Huruma tutamuonea lakini lazima ukweli aukubali kwamba hili sarakasi kajitaftia mwenyewe.
 
 

Labda kama ulimuacha ume mfunga kufuri au kama ulifungwa kifungo cha masaa kadhaa
 
......Pole sana my dear, mimba imeshaingia huna jinsi wewe lea mimba yako na acha kulazimisha ndoa. Angekuwa muoaji angekuoa kabla ya kupeana mimba........kama una kazi yako na pesa ya kutosha kaa kimya, tulia acha mawazo uzae salama na ulee mwanao mtarajiwa.
 
Halafu huyu mtoa mada alivyoniudhi anajiita msichana. Msichana? Miaka 28? Halafu una mimba ya miezi 9 bado unajiita msichana?

Wewe ni Mwanamke na si msichana, kwa sasa huna sifa ya usichana.
 

huyu ndio wale wakuvaa mashati ya kung'aa yenye maua kibao. Akitembee nyuki wanamfata.
Ameniboa sana,
yaani huyu angekuwa karibu,.....aaaagggr!
Nashindwa kumalizia, hasira zimezidi.
 
Halafu huyu mtoa mada alivyoniudhi anajiita msichana. Msichana? Miaka 28? Halafu una mimba ya miezi 9 bado unajiita msichana?

Wewe ni Mwanamke na si msichana, kwa sasa huna sifa ya usichana.

Kwa mara ya kwanza nimekupa thanks, MS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…