klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
sasa huu ni ushauri au?huyu ndio wale wakuvaa mashati ya kung'aa yenye maua kibao. Akitembee nyuki wanamfata.
Ameniboa sana,
yaani huyu angekuwa karibu,.....aaaagggr!
Nashindwa kumalizia, hasira zimezidi.
kwamba mabint awawez kuvumilia au?
yatakushnda nyooooooooooooo!!!!!
Kwa mara ya kwanza nimekupa thanks, MS
Labda kama jamaa alifungwa kwenye magereza ya marekani na nchi zingine za duniani!
Ila magereza ya Tanzania?
Alafu utoke tu unaenda kumparamia mtoto wa watu katoka saloon kapendeza?mh napiga picha hiyo movie itakuwaje
sasa huu ni ushauri au?
hebu njoo unichune bana nimeshinda ka lotto ka laki tano, ukichelewa namalizana na lizzy.
chakumpigia thax kiko wap???????????
hasira zmerud tena?
kameshakuja tayari! halaf kamekuja na mapozi! kanaomba hela kwa kiingereza.mmh usiende mwaya...anajidai kuna laki 5 kumbe ukienda anaend akukupga mznga wa lak moja
usiende shost...utalia bure
Hapo chacha! Rose 2fute nae urafik. Mi mwnyewe nmeahrisha ndoa then yeye ndo anamgongea thanx! Huyu hacra ztakuwa zmerud!
kameshakuja tayari! halaf kamekuja na mapozi! kanaomba hela kwa kiingereza.
umeona enhh?
bas tumnunie
afu tulale!!!
chakumpigia thax kiko wap???????????
hasira zmerud tena?
Hayo sasa maneno! Uck mwma!
Hapo chacha! Rose 2fute nae urafik. Mi mwnyewe nmeahrisha ndoa then yeye ndo anamgongea thanx! Huyu hacra ztakuwa zmerud!
Kujiita msichana afu yuko 28 na anategemea mtoto dakika chache zijazo
asante
niamshe 12 nataka enda misa ya kwanza...
Kujiita msichana afu yuko 28 na anategemea mtoto dakika chache zijazo
halaf kana bahati kweli lakini samtaimu kananizingua, nataka kukaanzishia sredi. yaani samtaimu hata ka sigara sivuti kwa kummiss! aargh husninyo utaniuwa halaf mazikoni usihuzurieehh km kamekuomba kwa kingereza basi mpe dola uyo
tsh azimfai mpe DOLAR KABISAAAAAAAAAAAAA......thbtsha uanaume wako
Hivi kuna ushauri mmetoa kweli nyie ?
Km Jk mwnyewe ana zaid ya 50 na anaitw kijana, iweje yeye acjiite mcchana? Au kwa vle Jk ni Rais au?
hehehe naomba uote nakuPMg9t kaka
mwambie klokwn nalala mie
c u ksho
nawapenda wooooooooooooooooooooooooooooooote dunia yote