Naomben Ushauri

Polee sana Mkuu
 
Habar zenu wakuu,poleen na Mvua na Baridi.
Naomben Ushauri hapa ;Kuna Dem Nmemuacha Ila Kakatalia Nguo yangu anadai kuwa Ety Ni Kumbukumbu kwake.
Mara ya mwisho kumtia ilikuwa lini?.....na ulimtia bao ngapi>>>
 
Mzeya na wewe ujenge tabia ya kubaki nanchupi za mwanamke unayemgegeda....wajinga hawa wanaturoga sana ndio maana mie nabaki nanchupi zao nami nae da kilingeni kwa Mshana Jr

Jiandae kulogwa hapo

Kukaa na chupi za wanawake utajikuta siku umeamka na haraka unaivaa bila kujua. Vile mnavaa suruali kiunoni lesi lesi za chupi zinaonekana juu ya suruali..... wana watajua ushalefti grupu kumbe unazikusanya nawe ulipize kuwaroga aahahahahaaa.
 
Inategemea na nguo gani. Kama ni jezi huwa hazirudishwi. Ndio maana unakuta tuna jezi za timu zote za england , spain na ujerumaniπŸ˜‚πŸ˜‚. Ila kama ni boxa kitampata kituπŸ˜‚

Kuna huyu nina jezi yake sijuagi hata ni ya timu gani ila huwa naivaa kama naiti dresi nalala nayo maana inashuka hadi mapajani. Jamaa ni mrefu...
Anatabia nikienda kwake anachukua nguo zangu anafungia kabatini. Siku hiyo alinirudisha nyumbani nimevaa Tshirt yake tuu na alibaki na gauni langu. Ndo ninayo hadi leo, gauni langu alinirudishia πŸ™‚.
 
Kukaa na chupi za wanawake utajikuta siku umeamka na haraka unaivaa bila kujua. Vile mnavaa suruali kiunoni lesi lesi za chupi zinaonekana juu ya suruali..... wana watajua ushalefti grupu kumbe unazikusanya nawe ulipize kuwaroga aahahahahaaa.
Mbona mie nazivaaga from tym to time. Masharti ya mganga hayo.
Mwangaluka mayoo.
 
Mbona mie nazivaaga from tym to time. Masharti ya mganga hayo.
Mwangaluka mayoo.

Aahahhahahaaaa ujue zinaongeza makalio hivyo usishangae ukiona suruali zinakubana nyuma πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜’.

Mwangaluka bhaabhaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…