Kuna hizi college km learnit na FTC, wanasema kuwa wanatoa vyeti kutoka uingereza, yani they are accredited, cheti cha masomo ya business ni ABE Association of Business Executives, course yake ni 6 months, yani certfct ni 6 months, diploma ni six months, diploma 2 pia 6 months na advance diploma ni 6 months!!! Wakati ktk vyuo vyetu diploma ni mwaka mzima, yani unasoma mpaka unazeeka chuoni! So hizi college na vyeti vyao kutoka nje vinatambulika na kukubalika? Maana college zimesajiliwa na Nacte,,,
Jengine, hivi naweza kupata transfer ya chuo kimoja kwenda chuo chengine? Kwa mfano saiv nipo Dip 1 IFM nataka Dip 2 nende nkamalizie kwengine, inawezekana? Na kama inawezekana naomba ushauri wenu!
Jengine, hivi naweza kupata transfer ya chuo kimoja kwenda chuo chengine? Kwa mfano saiv nipo Dip 1 IFM nataka Dip 2 nende nkamalizie kwengine, inawezekana? Na kama inawezekana naomba ushauri wenu!