Wakuu habari za wakati huu
Naombeni mnipe location ya vinyozi wazuri mtaani bei kitonga (achana na izi babershop unafutwa na mataulo ya maji bei juu😅
Kipindi nipo maeneo ya mikocheni nikuwa naenda kwa msela mmoja wakuitwa KATUNI alikuwa anapatikana kinondoni manyanya bei 3k jamaa alikuwa fundi sana.
Nimetoka nimerudi naenda kunyoa naambiwa jamaa kashavuta (washazika kitambo) so sad but maisha lazma yaendelee 😣🙌 nimenyoa hapo mara mbili ila mara zote sjaridhika kabisa japo anajitahidi ila bado sjamwelewa tu. Napiga hesabu napotokea kwenda SAIVI na vyenye kinyozi ananitoa naona si kweli.
NImehamia Yombo huku maeneo ya chama, naomba mwenyeji anayejua kinyozi mzuri amuelekeze kwa maeneo ya chama(makaburi ya city) au maeneo yoyote jirani na sehemu nilipo.
Natanguliza shukrani 🙏�
Ni changamoto kwelikweliKinyozi tu wa bei chee unamtafuta mitandanoni kwa kuulizia!!! Upo serious na maisha.
Ingependeza wangekuwa DSMKaribu Morogoro nina vinyozi wawili wa bei kitonga 1. Bei 1500 aisee jamaa ni ananyoa balaa hakosei, 2) Bei 3,000 jamaa yupo vizuri sana. Yaani niikiendaga Job wanasema nanyolewaga juu ya 5000 au 6000 kwa vinyozi wa Daslam kijitonyama enzi hiyo miaka kumi imepita ndo nilikuwa nanyoa kwa 5,000
Wazo zuri ntafanya hivyoTafuta vijana au watu wazima wanaojipenda na hawana maisha ya juu sana, waulize wananyoa kwa nani, fanya hivyo zaidi ya mtu mmoja, utapata kinyozi unayemtaka. Ukweli baba shop nyingi vinyozi ni wa kawaida sana, kinachowabeba ni kuoshwa na hao wadada.
Wazo zuri ntafanya hTafuta vijana au watu wazima wanaojipenda na hawana maisha ya juu sana, waulize wananyoa kwa nani, fanya hivyo zaidi ya mtu mmoja, utapata kinyozi unayemtaka. Ukweli baba shop nyingi vinyozi ni wa kawaida sana, kinachowabeba ni kuoshwa na hao wadada.
Kuna shida mahali, nimekukwaza?!Kinyozi tu wa bei chee unamtafuta mitandanoni kwa kuulizia!!! Upo serious na maisha.
Ndio maana mzee uli kazana nikae nanjilinji, huku kumuona Simba ni ka kuona demu mkaliHuo mkoa nimeamini wanaume ni wavivu aiseeeee....
5000Sawa nipe, sh.ngp kunyoa
sehem ganNjoo abiola hapa kuna vinyozi wakali tu
Abiola Unapajua?sehem gan
ndo maeneo yanguAbiola Unapajua?
Maeneo ya batotos hapa kuna saloon na pia ukiingia ndani kama unaelekea cite kwa mtoa mada kuna chimbo jenginendo maeneo yangu