Naombeni chaka la kinyozi/ vinyozi wazuri bei kitonga

WAKUU KWA HESHIMA NARUDISHA SHUKRANI

Nimeenda saluni Fulani batotoz upande wapili, I mean ukivuka road-jamaa kajitaidi katk kumi nampa 8/10🙏🙏
Bei 3k
 
Njoo abiola hapa kuna vinyozi wakali tu
Mkuu nilifika, kanitoa mara mbili aloo nmeelewa sana shida jamaa ni mtu wa harakati nyingi anamwacha mwenzie, saivi Ninaenda wiki ya 4 sjanyoa..
Sielewi kwanini vinyozi wazuri waga wanajisikia Fulani hivi, wananata knoma
Jamaa anajua kunyoa kishenzi ila kutulia ndo kitu hawezi
 
chukua namba yake kila ukienda unamchek
 
Wengi vifaa vyao hawaviweki kwenye sterilizer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…