ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Kama unaenda ulaya hiyo pekee ni fursa .Kuna watu Wana bahati sana wamejipata mfano NI Yule msanuaji wa clouds anafanya drip check kuwauliza wasanii bei ya nguo walizovaa..kwangu me naona jamaa ana kazi nzuri kwani haiboi yaani kila siku unaweza kuisikiliza.sasa Mimi sio comedian na sipendi zile pranks sasa kuna sehemu naenda hivi nje ya nchi ambapo naamini naweza kuwa na vifaa vyote vyenye ubora vya production natamani na Mimi niingie kwenye huu ulimwengu wa kuonyesha kipaji Katika mitandao ya kijamii pengine ikawa bahati kwangu nikawa maarufu ila kila nikifikiria cha kufanya nakosa ebu nambie rafiki yangu wewe wa jf Una idea gani uniuzie ambayo nzuri haiboi.
DR HAYA LAND 30 JR
Mshana Jr
Kuna watu Wana bahati sana wamejipata mfano NI Yule msanuaji wa clouds anafanya drip check kuwauliza wasanii bei ya nguo walizovaa..kwangu me naona jamaa ana kazi nzuri kwani haiboi yaani kila siku unaweza kuisikiliza.sasa Mimi sio comedian na sipendi zile pranks sasa kuna sehemu naenda hivi nje ya nchi ambapo naamini naweza kuwa na vifaa vyote vyenye ubora vya production natamani na Mimi niingie kwenye huu ulimwengu wa kuonyesha kipaji Katika mitandao ya kijamii pengine ikawa bahati kwangu nikawa maarufu ila kila nikifikiria cha kufanya nakosa ebu nambie rafiki yangu wewe wa jf Una idea gani uniuzie ambayo nzuri haiboi.
DR HAYA LAND 30 JR
Mshana Jr
IBM uku wa mwafirika..yuko vizuri SanaIla itategemea unahitaji ukue kivipi
Mfano kwa Tanzania ukizungumzia ngono , mpira utawapata wengi.
Ila ukitaka kukua Sana uwe Kama yule jamaa anajiita IBM unakuwa na mada ambazo zipo well constructive na hapo utafatiliwa Sana .
Sasa HV sifanyi chochote mkuu au labda nijaribu mzikiFanya unachofanya sasa
Kuwa Content creators , inakuhitaji uwe unadili na jambo kwa muda mrefu .IBM uku wa mwafirika..yuko vizuri Sana
Ok.kwa Mimi ambaye Naenda shule kwa Ishu za environmental yafaa NI deal zaidi na hizo maada sasa ndo sijui NI content ipi ambayo pia itakuwa in entertainment Kiasi chake..au kuhoji watu beach?
Unataka kuingia kwenye ulimwengu wa WENYE VIPAJI ukiwa huna KIPAJI. Maajabu ya karneKuna watu Wana bahati sana wamejipata mfano NI Yule msanuaji wa clouds anafanya drip check kuwauliza wasanii bei ya nguo walizovaa..kwangu me naona jamaa ana kazi nzuri kwani haiboi yaani kila siku unaweza kuisikiliza.sasa Mimi sio comedian na sipendi zile pranks sasa kuna sehemu naenda hivi nje ya nchi ambapo naamini naweza kuwa na vifaa vyote vyenye ubora vya production natamani na Mimi niingie kwenye huu ulimwengu wa kuonyesha kipaji Katika mitandao ya kijamii pengine ikawa bahati kwangu nikawa maarufu ila kila nikifikiria cha kufanya nakosa ebu nambie rafiki yangu wewe wa jf Una idea gani uniuzie ambayo nzuri haiboi.
DR HAYA LAND 30 JR
Mshana Jr
Unaweza kufanya behind the scene session? Hiv mnakosaje content wazee na mitaji mnayo? Mm naona gep kibao tu za kudili nazoKuna watu Wana bahati sana wamejipata mfano NI Yule msanuaji wa clouds anafanya drip check kuwauliza wasanii bei ya nguo walizovaa..kwangu me naona jamaa ana kazi nzuri kwani haiboi yaani kila siku unaweza kuisikiliza.sasa Mimi sio comedian na sipendi zile pranks sasa kuna sehemu naenda hivi nje ya nchi ambapo naamini naweza kuwa na vifaa vyote vyenye ubora vya production natamani na Mimi niingie kwenye huu ulimwengu wa kuonyesha kipaji Katika mitandao ya kijamii pengine ikawa bahati kwangu nikawa maarufu ila kila nikifikiria cha kufanya nakosa ebu nambie rafiki yangu wewe wa jf Una idea gani uniuzie ambayo nzuri haiboi.
DR HAYA LAND 30 JR
Mshana Jr